bookssland.com » WILFRED MWERO

author - "WILFRED MWERO"

Here you can read the author's books for free - author - "WILFRED MWERO". You can also read full versions online without registration and SMS at bookssland.com or read the summary, preface (abstract), description and read reviews (comments).

KAKOSEA MAULANA?’ ni kitabu chenye mkusanyiko wa mashairi wenye ulemavu. Kundi linalohusu watu wenye ulemavu ni miongoni mwa makundi yanayokabiliwa na changamoto nyingi katika masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Changamoto nyingi zinazowakabili hutokana na baadhi ya watu wasio na ulemavu kuwa na ufahamu mdogo kuhusiana na watu wenye ulemavu. Ulemavu ni changamoto wanayoweza kuikabili endapo jamii haitayapuuza mahitaji yao. Pia jamii inapaswa kufahamu kuna nyakati watu wenye